• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

Naibu Waziri Tamisemi awafunda Watumishi Halmashauri ya Mkinga

Posted on: February 14th, 2019

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Dkt Mary Mwanjele  amefanya ziara ndani ya Wilaya ya mkingnga siku ya tarehe 14/02/2019  sambamba na Ziara hiyo Mh Mary  Mwanjele alifanya Kikao na Watumishi wa Halmashauri na Kuwahasa Juu ya Utawala Bora na namna ya kufanya kazi kwa kufata misingi na Haki za Binadamu na Kufata Sheria na Taratibu za kazi ikiwemo suala zima la kuwahi kazini kwa wakati na kuondoka kwa wakati, 

vilevile Mh. Marry ameagiza Ujenzi wa Kituo Cha AfyA Kiwegu Kufanyiwa Uchunguzi Kwani kunaonekana kuwa na ubadhilifu Mkubwa wa Fedha za Umma na ameagiza TAKUKURU kufuatilia suala hilo kwa umakini zaidi na kuhakikisha kwa kila aliehusika na suala hilo anachukuliwa hatua kali za kisheria. 

Dr. Mary pia alisisitiza zaidi kwenye Suala zima la kuwatumikia wananchi Ikiwa kila Mtumishi anatakiwa Kuwatumikia wananchi wanyonge nia ikiwa ni kumsaidia Mh. Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli.

kwenye ziara yake pia Mh Mary alitembelea Miradi ya Wanufaika wa TASSAF na kuwasikiliza walengwa wakizungumza namna ambavyo wamenufaika na Mradi huu Mh Mary aliwapongeza Wananchi wa Mkinga Kwa kupokea Mradi vizuri na Kujiendeleza.

Tangazo

  • HATI MILIKI ZA ARDHI ZILIZOKAMILIKA WILAYA MKINGA December 04, 2022
  • KUSAFISHA MAENEO KWA WAMILIKI WA VIWANJA MKINGA August 12, 2022
  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA WALIOOMBA NAFASI ZILIZOTANGAZWA TAREHE 12.10.2020 November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAUR YA WILAYA YA MKINGA December 15, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • ZOEZI LA USAFI KUELEKEA SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

    December 02, 2022
  • Angalia Zaidi

Video

Kikao cha Wazee wa Maramba na Mhe. Mkuu wa Wilaya ndugu Yona Mark
Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera, Tanga -HorohoroRoad

    Postal Address: P O Box 6005 Tanga

    Simu: +255 755 443 326

    Simu: +255 755 443 326

    Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Huduma

Mkinga dc @ 2017