• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

Mh. Mkuu wa Wilaya ahitimisha rasmi ziara yake katika kata ya Mayomboni

Posted on: September 10th, 2021

Pichani aliesimama ni Mh. Mkuu wa Wilaya Mkinga Kanali Maulid Hassan Surumbu akizungumza na wananchi wa Kata ya Mayomboni wanaojihusisha na Uvuvi pamoja na kilimo bahari..

Mh. Mkuu wa Wilaya Mkinga Kanali Maulid Hassan Surumbu, Amehitimisha rasmi ziara yake kaliokuwa akiifanya katika Tarafa ya Mkinga kwa kuzungumza na Wananchi wanaojishughulisha na uvuvi pamoja na kilimo bahari leo katika Kijiji cha mayomboni ambapo amewataka wananchi hasa wanaotumia maeneo ya bahari kuacha kujihusisha na vitendo haramu kama vile kusafirisha wahamiaji haramu, madawa ya kulevya sambamba na uvuvi haramu kwa kutumia zana za uvuvi zisizofaa.

lengo la mkutano huu ni kuwapongeza Wananchihasa katika sekta ya uvuvi kwa kazi nzuri ya kuinua Mapato ya halamashauri hadi kufikia 88%, na kuwataka kuongeza uzalishaji ili kuweza kufikia asilimia 99% ya mapato ya Wilaya.

Pia Mh. Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi hao kuzungumza na watu wanaojihusisha na vitendo haramu akiamini kuwa watu hao hawatoki mbali na hapo ni baadhi ya ndugu, jamaa na marfiki zetu hivyo waambieni kwani kitakachokuja kuwapata wasije wakailamu serikali.


Aliesimama kulia ni Bi. Asha Churu ambae ni Kaimu Mkurugenzi na pia nI Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi wa Wilaya akifafanua jambo katika Mkutano huo/.




Baadhi ya wananchi waliohudhuria kwenye Mkutano wakiwemo wavuvi na wakulima wa zao la mwani.







Tangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 KWA MAKARANI,WASIMAMIZI WA MAUDHUI NA WASIMAMIZI WA TEHAMA July 26, 2022
  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA NAFASI ZA UKARANI,USIMAMIZI WA MAUDHUI NA MSIMAMIZI WA TEHAMA KWA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 July 15, 2022
  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA WALIOOMBA NAFASI ZILIZOTANGAZWA TAREHE 12.10.2020 November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAUR YA WILAYA YA MKINGA December 15, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Anuani za Makazi kwa Wah. Madiwani

    April 04, 2022
  • Uzinduzi wa Mafunzo ya Anuani za Makazi Wilaya Mkinga

    April 01, 2022
  • Ziara ya Katibu Mkuu TAMISEMI Prof . Riziki Shemdoe Wilaya Mkinga

    November 17, 2021
  • Mh. Mkuu wa Wilaya ahitimisha rasmi ziara yake katika kata ya Mayomboni

    September 10, 2021
  • Angalia Zaidi

Video

Kikao cha Wazee wa Maramba na Mhe. Mkuu wa Wilaya ndugu Yona Mark
Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera , Tanga-Horohoro Road

    Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga

    Simu: +255 27 2977200

    Simu: +255 684625299

    Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2021 Mkinga DC. All rights reserved.