• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mkinga District Council
Mkinga District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Livestock and Fishary
      • Works and Fire Recure
      • Maji
      • Ardhi na Mali Asili
      • Usafi na Mazingira
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ugavi
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Legal
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma wa Maji
    • Huduma ya Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Madiwani
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
  • Maktaba ya Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha za Matukio
    • Habari
    • Matukio

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

UTANGULIZI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:-

Mipango

Takwimu

Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)

 Kwa sasa idara ina jumla ya watumishi 5 ambapo kuna mkuu wa idara (DPLO), Wachumi watatu (3) na Mtakwimu mmoja (1).

KAZI ZA IDARA

  • Kuratibu shughuli za maandalizi ya bajeti ya Halmashauri
  • Kuratibu utayarishaji wa utekelezaji wa mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kuratibu shughuli za ukusanyaji, uchambuzi, utunzaji na tafsiri ya takwimu mbalimbali kwa ajii ya matumizi hususani katika upangaji miradi ya maendeleo.
  • Kuratibu shughuli za utekelezaji wa miradi mbalimbli ya maendeleo ya Wilaya
  • Kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali (project write ups) kwa malengo ya kuyatumia kuombea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali.
  • Kuratibu shughuli za mipango shirikishi jamii
  • Katibu wa kamati ya wataaalam ya Halmashauri
  • Katibu wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Kuratibu mapitio ya utayarishaji wa taarifa mbalimbali za Wilaya (District Profile)  kwa mfano: Social Economic Profile, Investment Profile etc.
  • Kuratibu maandalizi ya mpango wa utekelezaji Ilani ya uchaguzi pamoja na taarifa zake za utekeleaji (za nusu mwaka na za mwaka mzima).
  • Kutoa ushauri katika masuala ya kiuchumi na kuinua pato la mkazi kwa kuimarisha kilimo na ufugaji wa kisasa pamoja na shughuli nyingine za kiuchumi.

Mkuu wa Idara:  John Male

barua pepe: mipango@mkingadc.go.tz

Tangazo

  • HATI MILIKI ZA ARDHI ZILIZOKAMILIKA WILAYA MKINGA December 04, 2022
  • KUSAFISHA MAENEO KWA WAMILIKI WA VIWANJA MKINGA August 12, 2022
  • KUITWA KWENYE USAHILI KWA WALIOOMBA NAFASI ZILIZOTANGAZWA TAREHE 12.10.2020 November 13, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAUR YA WILAYA YA MKINGA December 15, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • WALIMU WAKABIDHIWA VISHKWAMBI

    January 14, 2023
  • ZOEZI LA USAFI KUELEKEA SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

    December 02, 2022
  • Angalia Zaidi

Video

Kikao cha Wazee wa Maramba na Mhe. Mkuu wa Wilaya ndugu Yona Mark
Angalia zaidi

Kurasa za Haraka

  • Fomu za Maombi
  • Habari

Kurasa Mashuhuri

  • OR- TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Salary slip portal
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Taifa
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Kasera, Tanga -HorohoroRoad

    Postal Address: P O Box 6005 Tanga

    Simu: +255 755 443 326

    Simu: +255 755 443 326

    Barua Pepe: Info@mkingadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Huduma

Mkinga dc @ 2017