Mkinga ni mojawapo ya Halmashauri 11 za mkoa wa Tanga ambayo ilianzishwa rasmi tarehe 01/07/2007 baada ya kugawanywa kutoka Wilaya ya Muheza ambayo ilianzishwa mwaka 1974. Wilaya hii imepakana na Wilaya ya Muheza na Tanga kwa upande wa kusini, Wilaya ya Korogwe na Lushoto upande wa Magharibi, Jamhuri ya Kenya upande wa kaskazini na Bahari ya Hindi upande wa mashariki. Wilaya ina ukubwa wa kilometa za mraba 2,948.
Kasera , Tanga-Horohoro Road
Postal Address: P.o.Box 6005 Tanga
Simu: +255 27 2977200
Simu: +255 684625299
Barua Pepe: info@mkingadc.go.tz
Copyright ©2021 Mkinga DC. All rights reserved.